Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
The Consult,asante sana kwa kutuelimisha,naomba nisaidie mambo yafuatayo
1.Je project unayoandikia proposal kwa ajili ya kuombea funding ni lazima iwepo(existing)?au in hata wazo tu mfano nataka kuanzisha Hospitali nikaamua kuandikia proposal?
2.Kuna mahali nimekuta masharti mojawapo katika kuomba fund in kwamba kwenye proposal yako kuwe na
'Strong public diplomacy component' Je ni kitu gani naomba maelezo nielewe.
3.Pia walisema Iwe na' project monitoring &reporting plan covering the entire project time plan.(hapo pia wanataka nini)?
Mwisho naomba kama una sample ya project proposal ya kuomba fund nirushie PM
Asante.