Hatua muhimu utafutapo mwenza.

Sijamshutumu mkuu.

Ni haki ya mtu yeyote kuamin anachokitaka yeye,
Iwe sanamu iwe mti au hata jiwe...

Lakin hakunaga iman ya kuamin mwili wako wew mwenyewe.

Huo ni ujinga tunalushiwa na wazungu,
Ety I believe in me,
Upumbavu mtupu.

Bola ukamwamin hata baba ako anaweza kukushahul zur ukiwa na pungufu.
Sasa ukijiamin wew mwenyewe kwa ukamilifu gan labda ulio nao???
Huko ni kushindwa kuwa na akili hii dunia inaendaje. Na trick zake zikoje.
Wewe unayo haki ya kushutumu imani ya mtu mwingine kuwa ni mbaya mzee baba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi hapo nilipokoleza nimepapenda na sio mbaya ukaishia hapo mzee baba.

Kikubwa kama unadhani hawaamini kisichosahihi waombee kwa unachoamini waje kwenye imani sahihi.
 
Assignment yote hii si itakugharimu a hell of resources? Ina marks ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi ni kondoo tu, mchungaji wangu ndo mwenye uwezo huo vyema.

So kikubwa nipo nafanya kujiombea mm mwenyewe.
Hadi hapo nilipokoleza nimepapenda na sio mbaya ukaishia hapo mzee baba.

Kikubwa kama unadhani hawaamini kisichosahihi waombee kwa unachoamini waje kwenye imani sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu watu wamefata hatua zote na wamegoogle ila ndo bado imekua ni nyumba yenye joto kali bila feni......!

Kama unaiman ni kweli kabisa muombe Mungu akupe mke bora........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu atakayevumilia machozi yangu huyo atakuwa mume bora!
 
Babu watu wamefata hatua zote na wamegoogle ila ndo bado imekua ni nyumba yenye joto kali bila feni......!

Kama unaiman ni kweli kabisa muombe Mungu akupe mke bora........

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda kudiscourage eeeh?
 
Reactions: Oxx
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…