Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ngoja nifuate hatua hizo kumpata mstaafu.
Haya pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya pia.
Wewe unayo haki ya kushutumu imani ya mtu mwingine kuwa ni mbaya mzee baba?
Kwema kabisaa. Naona mwaka huu unatupa nondo saana huu mwaka hauishi bure ...Tehtehteh..kwema bro!
Tehteh.
Kikokotoo kimebadilika.
Sijamshutumu mkuu.
Ni haki ya mtu yeyote kuamin anachokitaka yeye,
Iwe sanamu iwe mti au hata jiwe...
Lakin hakunaga iman ya kuamin mwili wako wew mwenyewe.
Huo ni ujinga tunalushiwa na wazungu,
Ety I believe in me,
Upumbavu mtupu.
Bola ukamwamin hata baba ako anaweza kukushahul zur ukiwa na pungufu.
Sasa ukijiamin wew mwenyewe kwa ukamilifu gan labda ulio nao???
Huko ni kushindwa kuwa na akili hii dunia inaendaje. Na trick zake zikoje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa..Kwema kabisaa. Naona mwaka huu unatupa nondo saana huu mwaka hauishi bure ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Assignment yote hii si itakugharimu a hell of resources? Ina marks ngapi?Kila mtu huwa na taswira ya mke/mme amtakaye. Ni kweli kabisa, maisha hayana kanuni lakini nakuhakikishia kanuni zipo, haipo moja zipo nyingi.
Ili maisha yaende kama ulivyopanga lazima uwe na mipango "hii mipango ndiyo kanuni". Moja ya mipango mikubwa ni kuchagua mwenza wa maisha. Nisiandike saana. Unapoamua kutafuta mwenza wa maisha jaribu kumpitisha kwenye hizi hatua anuai.
1. Mahali ulipo.
Hili lipo wazi tunapenda na kuchagua wenza sahihi kwa mahalu tulipo na wakati tunaokuwa nao. Huwezi kumpenda mtu wa Msumbiji ilihali upo Vingunguti otherwise ulishafika Msumbiji. Kwenye hii hatua ya kwanza, mosi uwe na nia ya kutafuta mwenza. Kisha angalia waliopo ulipo na uwaainishe. Wapeleke hatua ya pili.
2. Jamii ya mwenza mtarajiwa.
Kwenye jamii tunazoishi kuna mila na taratibu za mfumo wa kuoana. Bila shaka nawe jamii yako inazo hizo taratibu. Hivyo baada ya kuangalia wanawake/wanaume waliopo katika mazingira uliyopo wachuje kwa taratibu za jamii yako. Je, wanaoendana na taratibu za jamii yako? Hao watakaoendana nazo nenda nao hatua inayofuata.
3. Mvuto hasa wa nje.
Wale uliotoka nao hatua ya pili vipi unavutiwa nao? Kwa mara ya kwanza ulipowaona walikuvutia! Wale ambao hujavutiwa nao waache kwenye hii hatua beba wale uliovutiwa nao. Nenda nao hatua inayofuatia.
4. Utangamano.
Kwa kimombo compatibility. Maana yake je mnaweza kwenda sawia???
Hapa utakao vutiwa nao angalia wanavyopendelea, tabia zao na mipango yao ya maisha. Je, inaendana na yako? Mtaweza kuendana? Yes. If no achana naye chukua waliobaki nenda nao hatua inayofuatia.
5. Nakosa neno sahihi la kuweka hapa. Hii hatua tuiite Returns/ compesation/faida atakayo kuongeza.
Hii hatua imekaa kibiashara zaidi ila ni ya muhimu saana. Sasa wale mlioendana hatua ya 4 walete hapa napo wachuje.
Je, atakuongezea nini kama mwenzi wa maisha? Atakuwa kupe au nyuki? Anao msaada wowote kwako? If exchange is reasonable, then choose her/him.
Kama hana returns zozote tupilia mbali.
NB : kwenye kila ulifanyalo usisahau imani yako.
Mengi yametoka kwa afande google.
Haihitaji resources nyingi kama unataka ku sucrifice for your future life.Assignment yote hii si itakugharimu a hell of resources? Ina marks ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi hapo nilipokoleza nimepapenda na sio mbaya ukaishia hapo mzee baba.
Kikubwa kama unadhani hawaamini kisichosahihi waombee kwa unachoamini waje kwenye imani sahihi.
Good for you.Mkuu mimi ni kondoo tu, mchungaji wangu ndo mwenye uwezo huo vyema.
So kikubwa nipo nafanya kujiombea mm mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daby amekosea sana mkuu,kigezo namba moja chapaswa kuwa ni chura!![emoji4][emoji4][emoji4]
Good for you.
Vigezo na mashart lazima vizingatiwe ha hhDaby amekosea sana mkuu,kigezo namba moja chapaswa kuwa ni chura!![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 988004
Kwahiyo wewe kila wakati unalialia tu?Mtu atakayevumilia machozi yangu huyo atakuwa mume bora!
Unapenda kudiscourage eeeh?Babu watu wamefata hatua zote na wamegoogle ila ndo bado imekua ni nyumba yenye joto kali bila feni......!
Kama unaiman ni kweli kabisa muombe Mungu akupe mke bora........
Sent using Jamii Forums mobile app