Hatua muhimu utafutapo mwenza.

Sipendi kabisa wanawake weupe tena hawe mwembamba ndio namchukia kabisa.
Napenda mwanamke mweusi tiiiiii awe na shape bila kukosa chura kiasi isiwe kubwa sana sina gobole mimi..
Awe na macho makubwa kubwa hivi,lips nene daahh
 
Gudi lesoni mkuu
 
Nikichoka nalia, ukichelewa kurudi nalia! Nikisikia njaa nalia, mvua ikinyesha kubwa nalia... Nikikumiss nalia... Ukinikwaza nalia... Yaani mie daah
Raha sana mkuu, napenda kubembeleza sana😁😁😁
 
Faida ya mwanamke ni kukuzalia tu hakuna kingine maana yote unaweza fanya mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huwa hatusomi vizuri.

Hatua ya kwanza.

Huyo mwanamke utampata wapi?

Hatua ya pili.

Utaoa tu bila taratibu za jamii yako?

Hatua ya tatu.
Huangalii mvuto? Wewe unaweza kujipa mvuto?

Hatua ya nne.
Compatibility...hata kama anakuzalia tu huangalii hobby kama zinaendana ! Unajichotea tu mzee baba???

Hatua ya tano.
Faida.

Kwako kuzaa ni faida...kwa hiyo mgumba unachukua?

Watanzania jamani tuwe tunasoma na kuelewa.
 
Nikichoka nalia, ukichelewa kurudi nalia! Nikisikia njaa nalia, mvua ikinyesha kubwa nalia... Nikikumiss nalia... Ukinikwaza nalia... Yaani mie daah
Superstar una mambo.
 
Sipendi kabisa wanawake weupe tena hawe mwembamba ndio namchukia kabisa.
Napenda mwanamke mweusi tiiiiii awe na shape bila kukosa chura kiasi isiwe kubwa sana sina gobole mimi..
Awe na macho makubwa kubwa hivi,lips nene daahh
Mimi napenda sana wanawake weupe ni wataaaaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…