Hatua na Mobeto

Kuna watu mnawashwa washwa sana kupigwa pesa ..

Shauri yenu ..
 
Ila dada zangu wepesi sana kupigwa,huyo hamisa mwenyewe ni "mjasiria-mbunye" full kudanga still bado hamjiongezi.Ana biashara gani mjini kama sio kuuza kipochi manyoya zake jiongezeni.
 
Wajibu ndio kisha uje utupe mrejesho.

Kuwa makini chuchunge sio wa kumuamini.

Yule wa vibubu wengi walidhani wanapewa maujanja kumbe mwenzao kawageuza fursa kwa kununua vibubu kwake
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…