Hatua na Mobeto

Hatua na Mobeto

Hao wenyewe hawajawahi kufanya biashara yoyote
Zaidi ya kupiga domo.....nendeni mkaliwe

Ova
 
Numbisa usimchukie Hamisa Hana makuu na asiyependa ugomvi unaanzaje kumchukia mwanamke Kama hamisa? Ingekuwa unamchukia mtu Kama mange kimambi,Juma lokole,Mwijaku and the same types angalau ningekuelewa ila sio Hamisa

Asiye na makuu anaweza kuwa na ujasiri wa kuvunja nyumba za watu?

Asiye na makuu anaweza kwenda uchi kwa ujasiri?!

Itakuwa humjui vizuri na ndiyo maana unamchukulia Poa!
 
Hello guys,

Kuna project ambayo Hamisa Mobetto anaitangaza now ,inayofanyika kesho , ambayo Ni konganano la wajasiriamali, nilijisajiri katija bio yake, na kujaza form ambayo ndiyo itatumika Kama kiingilio.

Nimepigiwa simu leo wakiniuliza kama Nina account crdb ambayo iko active, Sasa najiuliza kunaweza kuwa na fursa ya mtonyo au?mliowahi shiriki kongamano kabla ya Hilo lililoandaliwa na mobetto vipi Kuna fursa ya mitaji?
Duh kwa mawazo yako Mobeto atakuwa na hela ya kugawa ha ha adange kwa shida akupe kirahisi
 
Asiye na makuu anaweza kuwa na ujasiri wa kuvunja nyumba za watu?

Asiye na makuu anaweza kwenda uchi kwa ujasiri?!

Itakuwa humjui vizuri na ndiyo maana unamchukulia Poa!
Kavunja nyumba ya watu kivip? Ebu fafanua
 
Kaka ake chuchunge,huyo binti kwa ugomvi anajulikana ila kiboko yake lulu,shobo yote kwa majizo imekatwa.

Anyway kwa hizi sifa unazompa mbona domo haoi hapo?
Numbisa usimchukie Hamisa Hana makuu na asiyependa ugomvi unaanzaje kumchukia mwanamke Kama hamisa? Ingekuwa unamchukia mtu Kama mange kimambi,Juma lokole,Mwijaku and the same types angalau ningekuelewa ila sio Hamisa
 
Kaka ake chuchunge,huyo binti kwa ugomvi anajulikana ila kiboko yake lulu,shobo yote kwa majizo imekatwa.

Anyway kwa hizi sifa unazompa mbona domo haoi hapo?
Numbisa Hizo shobo ni zipi kazifanya kwa majizo? Unavyosema mbona diamond haoi hapo kwani Zari aliolewa na mondi? Na sasa hivi huyo Zari ana ndoa?.Ushauri wangu kwako Hakuna sababu za kumchukia binadamu mwenzako hivyo ambaye umemjulia kupitia social media pekee na tv ujawahi hata kumuona live lakini pia ajawahi kukukosea au kuingilia mzunguko wa maisha yako hiv unazani kumchukia Hamisa ndio kutamfanya Zari awe Bora au kufanikiwa maisha yako hiv ukiwapenda both Zari na Hamisa unapungukiwa Nini? au Kuna faida gani unaipata ukimchukia Hamisa mobetto? Mbona sisi wabongo tunapenda kujipa stress kwa mambo ambayo hayana msingi katika maisha yako kwanini ujipe mzigo mzito unaoepukika hiv kuwa na personal stress hazitoshi mpaka uongeze na za Hamisa mobetto?
 
Kaka ake tununu. Sio kwa magazeti haya aiseee. Halafu mbona zari unamtaja taja hivyo hakuna sehemu nimemtaja zari.
Take a chill pill ndugu. Umepanic jamani hadi huruma

Je wewe unapata faida gani unapomchukia konde na aliki kiba?

Numbisa Onesha wapi nimemchukia Kiba na Konde boy? Hapa juzi tu nilianzisha Uzi wa kumsifia mke wa Kiba nikasema Kiba anajua kuchagua mke ningekuwa ninachuki nae ningesema hivyo.Ndugu yangu me Sina chuki Kama ulizojaza wewe au ulikariri ukimpenda diamond basi lazima umchukie Alikiba.

Nimeamua kumtaja Zari kwasababu huyo ndio source ya wewe umchukie Hamisa mobetto
 
Tununu kachukiwa zaman kwa tabia zake ila wewe unapenda kulazimisha kile unachokiamini kwa wengine. Well uwe na usiku mwema
Numbisa Onesha wapi nimemchukia Kiba na Konde boy? Hapa juzi tu nilianzisha Uzi wa kumsifia mke wa Kiba nikasema Kiba anajua kuchagua mke ningekuwa ninachuki nae ningesema hivyo.Ndugu yangu me Sina chuki Kama ulizojaza wewe au ulikariri ukimpenda diamond basi lazima umchukie Alikiba.

Nimeamua kumtaja Zari kwasababu huyo ndio source ya wewe umchukie Hamisa mobetto
 
Hamisa hana ukimya wowote ni malaya aliyejificha kwenye kichaka cha umodel,uigizaji na mziki.

Ukiwa na hela unajipigia tu,kuna bosi mmoja wa kampuni ninayofanyia kazi ila vitengo tofauti kapanda dau kapiga.

Hamna kitu hapo.
Sawa anaweza akawa Ni Malaya ila sio demu mwenye mdomo ndio point yangu ilipo
 
Back
Top Bottom