umeona eeeh!jamaa analisoma akiwa amesimama!ww nae unleta hoja za kizembe sana.....kaa chini soma vzur tangazo
umeona eeeh!jamaa analisoma akiwa amesimama!
Kwa mujibu wa TCU ni kwamba,,Transfer inafanyika if there is Available Slots(kama hicho chuo kina nafasi ambazo ni bado hazina wanafunzi. Nakupa taarifa kwamba UDOM course za Education zooote zilijaa kabla hata watu waliokosa vyuo kwa mara ya kwanza hayajatoka.. Maana yake Kwa kozi ya Education, nakushauri kitaalamu kabisa kwa UDOM zimeshajaa, hata kama una Division One ya point 6 Availble Slots cannever be Uplifted unless proved otherwise bu the university itself.. Unatakiwa kwanza wewe mwenyewe uangalie Cut Off Point mfano TCU GUIDEBOOK YA 2014/2015 ni SEKOMU course yako Cut of point ni 2.0 hii ni Divishen three ya Mwisho kabisa,,ambayo inaaproach kwenye Div 4,, na UDOM cut off ni 2.5 but never ever usijidanganye na vyuo vya serikali kuhusu Cut Off point mara nyingi vinachukua point kubwa mfao dhahili angalia UDSM WALIOCHUKUIWA LAW TCU wanataka 4.5 ila UDSM wamechukua point 11.5 manayake mtu mwenye Divishen One ya Point 7 ameachwa..... ukishaangalia Cut Off point ndipo ujiridhishe kulingana na Divisheni yako au Grading System zako...kwa ushauri zaidi ndugu nitafte kwa 0754485211/0655485211

kama kawa wamenihangaisha sana,wamenichakachua knyama xaxa ngoja nami ipo cku.
Wadau naomba kuuliza kama tcu wanaruhusu transfer, na kama wanaruhusu unapitia hatua gan, unaenda tcu au chuo unachotaka nafas
Transfer Procedures
1. Introduction
TCU had been experiencing a
number of
applicants seeking transfer after the
announcement of selection results.
Due to that
reason, TCU hereby announces
transfer
procedures as follow:
2. How to Transfer
Selected applicants who wish to
transfer from
one institution to another will be
required to
send their applications to TCU by
filling
application form available on TCU
website
basing on the available slots on TCU
website
and send it via email:
admission@tcu.go.tz .
TCU will process their applications
basing on
requirements and available slots.
The successful applicants will be
notified by
TCU via their mobile numbers so as
to pay the
transfer fee of T.Sh. 30,000/-
TCU will then re-allocate them to
respective
programmes/institutions.
The list of transferred applicants will
then be
postedon TCU website.
3. Transfer fee
There will be a transfer fee of Tsh.
30,000/- for
applicants who will be transferred.
Only successful applicants will be
required to
pay the transfer fee after receiving
notification via mobile numbers
informing them
their transfer applications have been
accepted.
The transfer fee will be paid via TCU
account
numbers:
CRDB 01J1026795702
CBA (Commercial Bank of Africa)
115600100015
After paying the transfer fee they will
be
required to scan and send
their pay in slip to TCU through the
email:
admission@tcu.go.tz those in Dar es
salaam
they may submit their pay in slips
physically at
TCU, admission offices.
4. Transfer within Institutions
However for the transfer within the
institutions
for applicants who wish to transfer
from one
programme to another, institutions
will be
allowed to process them and submit
the lists of
transferred applicants in the
thirdweek after
opening of institutions.
5. When to apply for transfer
Applications for transfer will be
opened from
Monday, 29th September 2014 to
10th
October 2014.
6. Deadline
Deadline for all applications will be
on
10th October 2014. Applications
which will be
sent after this date will not be
considered .
Issued by Executive Secretary TCU
24th September 2014.
Cut pont sio ishu, swala ni kwamba ushindani upoje kwenye coz husikka.
Mfano angalia selection za UDSM ambacho ndo chuo kinacho pendwa na kila mtu hpa tz watu wameingia na dvsn four ila iyo coz waliopata utacheka, text engineering! !!
Kam bado haitoshi matokeo ya TCU yali link juma moss kam utakua unakumbuka na kuta watu kam watatu nawafahm wana divsn four na walipangwa UDOM computer science, kam unabisha kunywa sumu ili ukwel ndo huo
Ndo uelew cut point za mtu sio case saaana ishu ni competition ya coz kwenye chuo husika.
Kazi njema @ kam ume mind xana nitafute 0712801265.
Kwa mujibu wa TCU ni kwamba,,Transfer inafanyika if there is Available Slots(kama hicho chuo kina nafasi ambazo ni bado hazina wanafunzi. Nakupa taarifa kwamba UDOM course za Education zooote zilijaa kabla hata watu waliokosa vyuo kwa mara ya kwanza hayajatoka.. Maana yake Kwa kozi ya Education, nakushauri kitaalamu kabisa kwa UDOM zimeshajaa, hata kama una Division One ya point 6 Availble Slots can never be Uplifted unless proved otherwise bu the university itself.. Unatakiwa kwanza wewe mwenyewe uangalie Cut Off Point mfano TCU GUIDEBOOK YA 2014/2015 ni SEKOMU course yako Cut of point ni 2.0 hii ni Divishen three ya Mwisho kabisa,,ambayo inaaproach kwenye Div 4,, na UDOM cut off ni 2.5 but never ever usijidanganye na vyuo vya serikali kuhusu Cut Off point mara nyingi vinachukua point kubwa mfao dhahili angalia UDSM WALIOCHUKUIWA LAW TCU wanataka 4.5 ila UDSM wamechukua point 11.5 manayake mtu mwenye Divishen One ya Point 7 ameachwa..... ukishaangalia Cut Off point ndipo ujiridhishe kulingana na Divisheni yako au Grading System zako...kwa ushauri zaidi ndugu nitafte kwa 0754485211/0655485211