ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mdogo alichukua PCB. Itabidi akakomae huko huko alipopangiwa!
Daaaa hapo sasa itabidi akomaee huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo alichukua PCB. Itabidi akakomae huko huko alipopangiwa!
nani kakwambia haina ajira hyo?? wizara ya kilimo mbona wanaajir sana labda kwa wanafunz wa st joseph..Mimi St. Joseph kipo songea bachelor of technology in hortculture ila kutokana na hii coz haina ajira nataka nihamie bach of techn in agriculture vp hapo? Tatizo jingine nilifanya 2nd application hivyo bado sijajua majina yetu yanatoka lin?
Kaka kwani slots zilizo baki pale ni medicine tu?
hyo ni kwa wale wanaotaka kuhamia kozi za afya kama ckosei.
Mdogo alichukua PCB. Itabidi akakomae huko huko alipopangiwa!
nani kakwambia haina ajira hyo?? wizara ya kilimo mbona wanaajir sana labda kwa wanafunz wa st joseph..
na majina ya sec round si yametoka au we ulijuaje kama upo joseph na ulifanya sec round.
au cjakuelewa mm may b.
mbona tcu walichelewesha kutoa hizo slots mpaka wengine waliomba transfer wakati wangejiombea medicine.
ndo hapo sasa...hiyo inaonesha mda wowote tcu wataachia vitu...na pia vyuo vingine kuendelea kutoa majina...maana ukiangalia hilo zoezi la kufanya uhamisho linaanza tar 29...ambapo kila mtu atakua kashajua anaenda wapi.
thanx mkuu kwa kuniabarisha
Nimemaliza Udom, kwa kweli kwa upande wa Udom kubadili course ni ngumu sana, kuna wengi walijaribu walishindwa, na istoshe watakwambia izo selection wao wameletewa na TCU, hawajazifanya wao
wenye uelewa tafadhali naombeni mnijuze namna ya kuhama chuo kwa utaratibu wa TCU mdogo wangu kachaguliwa iringa university na m cwez ksomesha pale nmeckia kuna uwezekano wa kuhama,tujuzane tafadhali