Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

Mimi St. Joseph kipo songea bachelor of technology in hortculture ila kutokana na hii coz haina ajira nataka nihamie bach of techn in agriculture vp hapo? Tatizo jingine nilifanya 2nd application hivyo bado sijajua majina yetu yanatoka lin?
nani kakwambia haina ajira hyo?? wizara ya kilimo mbona wanaajir sana labda kwa wanafunz wa st joseph..
na majina ya sec round si yametoka au we ulijuaje kama upo joseph na ulifanya sec round.
au cjakuelewa mm may b.
 
Wadau nimedhamiria kubadili program pindi nifikapo UDOM kwani nilichaguliwa kufanya program nisiyoipenda.
Je fomu iliyotolewa na tcu inayohusu kubadili chuo na program inanihusu kweli? Naomba wazoefu wa hili wanisaidie ushauri wa bure. Mungu awabariki!
 
Kutoka kozi gani kwenda kozi gan?
 
Inahusu kuhama chuo tu na sio koz kuhusu kuhama koz ukifika chuon ndio utashughulikia week tatu za mwanzo
 
watatujuulisha lini? via sms notification tuwalipe pesa yao au ndo mpaka deadline ipite?
 
nani kakwambia haina ajira hyo?? wizara ya kilimo mbona wanaajir sana labda kwa wanafunz wa st joseph..
na majina ya sec round si yametoka au we ulijuaje kama upo joseph na ulifanya sec round.
au cjakuelewa mm may b.

ajira uhakika,so komaa
 
Nimemaliza Udom, kwa kweli kwa upande wa Udom kubadili course ni ngumu sana, kuna wengi walijaribu walishindwa, na istoshe watakwambia izo selection wao wameletewa na TCU, hawajazifanya wao
 
Nimemaliza Udom, kwa kweli kwa upande wa Udom kubadili course ni ngumu sana, kuna wengi walijaribu walishindwa, na istoshe watakwambia izo selection wao wameletewa na TCU, hawajazifanya wao

Mmmh! mbona unatutisha brother. Watagoma kabisaa? Ila ngoja tujipe moyo
 
Wenye uelewa tafadhali naombeni mnijuze namna ya kuhama chuo kwa utaratibu wa TCU, mdogo wangu kachaguliwa Iringa university na mimi siwezi kusomesha pale. Nimesikia kuna uwezekano wa kuhama, Tujuzane tafadhali
 
wenye uelewa tafadhali naombeni mnijuze namna ya kuhama chuo kwa utaratibu wa TCU mdogo wangu kachaguliwa iringa university na m cwez ksomesha pale nmeckia kuna uwezekano wa kuhama,tujuzane tafadhali

Tembelea website ya TCU...kifupi kuna form una download toka tcu..unaijaza den unascan halafu unaituma kwenye email wamekupa pale.ukikubaliwa kuhama utalipa 30000/= na kozi za kuchagua wamekupa pale wao mwisho tareh 7 ol da best
 
Back
Top Bottom