tcu wamesema application forms available in tcu website wapi mbona siioni?
Ukimaliza yale maelekezo yao pale chini kabisa we print zipo page tatu..... ya mwisho ndo form lazima uwe na point 6.5 nakuendeleaaa
we kijana, hio sifa ya ziada ya angalau pointi 6.5 umeitoa wapi!
Hivi inaruhusiwa kuwatumia tcu form kuomba kuhamia chuo zaid ya kimoja ?
Inachukua muda gani kipata majibu kwa anaefahamu atujulishe maana muda wa registration vyuoni ndio huo umekaribia..!
Kaka soma maelekezo ya kuhama chuo tcu wame toa hayo maelezo na dead line ni tareh 7 co 10 tenaa
Conditions for Transfer
Only those with at least three principal passes (i.e. C and above in new grading system or 6.5 points in old grading system) and meets the requirements of a particular programme, can be considered for transfer. How to Transfer.
Laaa!
Mdogoangu mwenye 2Cs atakoma!
Mpaka deadline ipitee tareh saba na majibu yatakuwa kwenye website yao
Ukimaliza yale maelekezo yao pale chini kabisa we print zipo page tatu..... ya mwisho ndo form lazima uwe na point 6.5 nakuendeleaaa
hiyo 6.5 points no kwa wale wanaotaka transfer to medicine

Comb gani kaka