Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
560
Reaction score
756
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

Hodi wanajamii,

Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.

Maswali yangu makuu ni:

Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?

Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na vitendo)?

Ada ya mafunzo au usajili ni kiasi gani kwa sasa?
 
Back
Top Bottom