Hatua ninazotumia kutengeneza websites za milioni 4 au zaidi bila kujua coding
Boss lakin c mpaka uwe unajua language kam Javascrpt html css
Kwa technology ya sasa. huitaji kujua languages, ili kujenga website nzuri ... japokuwa kama unataka kufanya vitu more advanced ni vema ukawa na knowledge kidogo ya hizo language ili hata kama ukitaka kucopy na kupaste code kwa ajili ya kuiongezea kwenye web yako basi uwe unajua unachofanya.
 
Thanks,nimejifunza kitu kikubwa.
Nadhani issue imekuwa katika hela, so the 4M unapata kwa kuwatengenezea watu website, au inazotokana na hiyo web yako?
Ni kwa muda gani umeanza kupata hiyo pay, na je ni weekly, monthly e.t.c
 
Kamaanisha kuuza hiyo Web
 
Mkuu unaweza kutupa link ya hizo website ambazo zina worth 4M tukajiridhisha
 
Back
Top Bottom