Miaka 8.
Acha uongo Mwajei
Dah!yani inaonekana mpaka unaolewa unaweza ukawa umekuwa na boyfriend mmoja wapili mume!!
si kweliiiiiiiI am saving myself for marriage. :nono:
I know. Nataka shangazi apewe zawadi kubwa siku hiyo. lolestgood girl!
.
Ndio Siku hiyo hiyo... kwani ukingojea siku nyingine basi itakubidi uanze kutongoza tena... na akizingua unampa three times akikataa zote basi huyo achana nae anatakuwa na matatizo ya..! Internal AffairsUnapopata mpenzi na mmemaliza hatua ya kuktongozana na ukakubaliwa je ni mda gani inatakiwa ili mkatende tendo husika??
Je wewe utumia mda gani au leo na vyombo siku hiyohiyo??
oi....! Madada waoga kwenye Maongezi hawa ila Wakingia Ndani wao ndio wa Kwanza Kuvua Nguo!Miaka 8.
Siamini hili na This days watu kuoa lazima Watest...I am saving myself for marriage. :nono:
Kha! mbona wote mnadoubt sasa? Hivi mnadoubt nini? lolSiamini hili na This days watu kuoa lazima Watest...
am doubt kwa hili