Hatua ya kwanza je ni mda gani ukuchukua kuingia hatua ya pili ya mahusiano?/

Hatua ya kwanza je ni mda gani ukuchukua kuingia hatua ya pili ya mahusiano?/

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Unapopata mpenzi na mmemaliza hatua ya kuktongozana na ukakubaliwa je ni mda gani inatakiwa ili mkatende tendo husika??
Je wewe utumia mda gani au leo na vyombo siku hiyohiyo??
 
Unapopata mpenzi na mmemaliza hatua ya kuktongozana na ukakubaliwa je ni mda gani inatakiwa ili mkatende tendo husika??
Je wewe utumia mda gani au leo na vyombo siku hiyohiyo??
Ndio Siku hiyo hiyo... kwani ukingojea siku nyingine basi itakubidi uanze kutongoza tena... na akizingua unampa three times akikataa zote basi huyo achana nae anatakuwa na matatizo ya..! Internal Affairs

oi....! Madada waoga kwenye Maongezi hawa ila Wakingia Ndani wao ndio wa Kwanza Kuvua Nguo!
 
Back
Top Bottom