Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

Huu Uzi unanikumbusha anko wangu aliondoka mbeya mjini kwenda chunya mgodini mbona alirudi kwa miguu home amejaa vumbi mwili mzima kakonda balaa, mi nadhani unapoondoka home hakikisha umejiweka sawa na mtaji hata wa kuuza matunda tu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu umeweza kukaza 6month Chaka .. Leo unataka urudishe Mpira kwa kipa ..acha hzo mkuu komaa mpaka kieleweke
 
I gree with you big bro...
Ila majority tunatokea familia za chini ambazo hata idadi ya vyumba n vyakubanana so age ikifika 25 tayari wanaanza kukufukuza mdogo mdogo ukajitegemee ...
 
I gree with you big bro...
Ila majority tunatokea familia za chini ambazo hata idadi ya vyumba n vyakubanana so age ikifika 25 tayari wanaanza kukufukuza mdogo mdogo ukajitegemee ...
Kama nyumba ni ndogo nakubali, ni muhimu kuhama. Nachokataa ni kuhama simply because eti una 25 years
 
Well said, kujitenga na wazaz ni mbinu ya kuelekea mafanikio. Waswahili husema shida ni chanzo cha maarifa. Sasa akina sie tunaosubir ajira ndio tujitegemee tunachelewa saaana.
Sahihi kabisa
 
Nakubaliana na hili kwa 100% mifano iko mingi, mfano ukiangalia wachaga ukitembea kwenye hii karibu kila wilaya ya mkoa ni vigumu kukosa mchaga
 
Home kuondoka ni sahihi ila uwe na masterplan ya kuishi bila support ya mzaziπŸ˜‚ vinginevyo utatubu.
 
Usiondoke wizo hujawaomba wakuzae bien starehe zao hizo sawa? 😹
Eeeeh kabisaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haondoki mtu hapa, wao ndio waondoke waniachie mji πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…