Hatua ya kwanza ya MO iwe kumuondoa Manara

Hatua ya kwanza ya MO iwe kumuondoa Manara

Wewe unataka Kuolewa na Si Jengine Manake Mwanamme Hawi na Wivu Kiasi Hicho...
Timu Zipo Nyingi si Lazima Upende Simba...
Achana na Sisi...
Manara Ni Mkuu wetu Wa Idara ya Habari Hapa Simba! Kwahiyo Kisheria Yeye Pekee Ndiye Mwenye Haki ya Kuisemea Simba....
Nakwambia Tena Achana na Simba Boya wewe.
 
Nisingepata mesiji ya hivi ningeshangaa sana. Nilitarajia mapovu kama haya, hata hivyo ukweli unabaki palepale na vilevile kuwa soka la kibiashara ni tofauti na soka la ridhaa. Huwezi kubwatukia customers halafu utegemee waje wanunue bidhaa yako. Bidhaa za Mo kama mmiliki wa Simba haziko salama sana mikononi mwa Manara kama hatabadilika. Huu sasa ni wakati wake wa kutofautisha misingi ya utani wa jadi na ile ya biashara
 
Nisingepata mesiji ya hivi ningeshangaa sana. Nilitarajia mapovu kama haya, hata hivyo ukweli unabaki palepale na vilevile kuwa soka la kibiashara ni tofauti na soka la ridhaa. Huwezi kubwatukia customers halafu utegemee waje wanunue bidhaa yako. Bidhaa za Mo kama mmiliki wa Simba haziko salama sana mikononi mwa Manara kama hatabadilika.

Pale Manara Yupo Kimkataba Wa Ajira na Huyo Mo Dewji Hana Asilimia 100% za hisa! Ni 49% tu zake...
Kwahiyo Usidhani Kuwa Kaletwa Pale Kwa Kuja Kufukuza Kila asiyempenda...

Kaekwa Pale Kwa Maendeleo Ya Club...
So Manara Hawezi Ondoka Simba, Labda uondoke wewe Duniani... Over!
 
Ni dalili kuwa watu hawakujua maana ya mfumo huu wa uendesheshaji wa club. Semina elekezi inahitajika. Mtu haelewi maana ya mtu kumiliki 49% na 20bil. Haina shida nadhani MO sio mjinga, ataitisha kikao na kusema nini anataka na nini hataki soon.
 
Manara apewe kazi ya kusimamia ile kamati ya waganga wa kienyeji wanaotumwa mochwari kuchukua maji ya kuoshea maiti na kuyamwaga uwanjani kabla ya mechi.
 
Back
Top Bottom