Hatua ya makundi ya CAFCL hakuna Zalan wala Marumo

Hatua ya makundi ya CAFCL hakuna Zalan wala Marumo

Aahaaaa

Saa nne tuonyeshe huo ukubwa wako

Ila usisahau ukifungwa tu unafanana na Yanga
Mwaka jana mlishabikia vipers na tukawapiga nje ndani. Bado tuna mechi mbili kwa mkapa.

Leo simba akitoka sare atakuwa na point 3 ambazo ni sawa na kushinda mechi moja ya nyumbani.

Kwahiyo kimahesabu bado tupo pazuri.
 
Ndo utoe droo sasa

Ila ukigongwa shoo wewe na Yanga ni sare sare
 
Simba ni timu kubwa, tunampiga wydad nje ndani.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom