Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
3,984
Reaction score
5,820
Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM.

1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO)

2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae kichwani kama torati. (SIASA NI MAARIFA NA UJUZI)

3. Tafuta uongozi chamani kuanzia ngazi ya kata au wilaya. Ikiwezekana mkoa. Hii inakupa connection mkoani na taifa, fahamiana na makada mbalimbali wenye vyeo na uzoefu chamani. (SIASA NI CONNECTION)

4. Hudhuria vikao vyote vya chama vinavyokuhusu na toa hoja, maoni, ushauri, na mapendekezo pale inapobidi. (SIASA NI KUONEKANA)

5.Unga mkono hoja zote za viongozi wako hasa Mwenyekiti ukiwa kikaoni. Anayemshambulia/Anayepingana na Mwenyekiti kikaoni onesha kutomuunga mkono lakini sio waziwazi. Ukitoka nje ya kikao kuwa na misimamo yako. Usipende kuunga mkono wapingaji wa viongozi waziwazi hata kama wana hoja za msingi. (SIASA NI UNAFIKI)

6. Angalia kundi lenye ushawishi na watu wenye nguvu na mtaji wa kisiasa jiunge nalo. Kundi hilo liwe lenye malengo ya kisiasa endelevu kama kupanga safu za uongozi na kupeana sapoti kisiasa. Kama lina ajenda ya kumpinga Mwenyekiti achana nalo. (SIASA NI MAKUNDI)

7. Ukifika wakati wa kugombea nafasi ya uongozi kwenye chama (Mwenyekiti, mjumbe) au serikali (Udiwani, Umeya, Ubunge) tumia mtaji wa watu ambao umejenga mahusiano nao kushinda kwa namna yoyote ile. Hakikisha jina linarudi kupitia uhusiano na Mwenyekiti, unapata kura kwa uhusiano na wajumbe/wanachama na unatangazwa mshindi kwa mahusiano na wasimamizi wa uchaguzi. (SIASA NI FIGISU).

8. Unapokuwa na cheo hakikisha unawapambania waliokupambania ili waendelee kuwa mtaji kwako kisiasa, hata ukuboronga watakuongelea vizuri tu. Ukiwa na cheo cha kufanya uteuzi/teuzi likumbuke kundi lako la kisiasa. (SIASA NI FADHILA).

9. Siku zote usiwaunge mkono wapinzani hata kama wanaongea mambo ya msingi. Watu wenye mlengo wa kisiasa tofauti na CCM wapinge vikali. Ila usisahau kuchukua hoja zao nzuri na kuzifanyia kazi kimya kimya. Wananchi wanataka matokeo sio maneno. (SIASA NI ITIKADI NA IMANI).

10. Ukifanikiwa kisiasa kula maisha. Uzeeni au baada ya kustaafu siasa za CCM omba radhi wale wote uliowakosea wakati wa kutafuta dola. Pia anza kuunga mkono baadhi ya hoja zao kwa kutumia lugha chonganishi au mafumbo. Wengi wao ni wajinga na watafikiri upo upande wao na kusahau yote ya nyuma. (SIASA NI MARIDHIANO)

Hayo ni machache kati ya mengi niliyojifunza na ninayoendelea kujifunza.

ANGALIZO: Usifanye siasa kama kazi yaani asubuhi, mchana, na usiku. Ila ishi kisiasa kwa kuzingatia hayo. Cha msingi kuwa na kazi halali nje ya siasa inayokufanya uishi vizuri. Siasa yako inazaliwa, inakuwa na inazimika hatimaye kufa na kusahaulika.

- MM Nyerere
 
Kwa akili kama hizi tutaendelea kuitwa shithole. CCM ndio tatzo katika nchii hii..hichi chama ndio chanzo cha umasikini kimeshapoteza dira, yamebaki majambazi na majumia tumbo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM muda wa kuwa madarakani unakalibia kufika tamati.Ivo huko mbeleni mambo mengi ya kihuni yataisha.Na kila mtu atapata haki inayomstahili.
CCM imeshakufa na iko tamati ili nchi ipate MAENDELEO ya kweli
 
Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM.

1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO)

2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae kichwani kama torati. (SIASA NI MAARIFA NA UJUZI)

3. Tafuta uongozi chamani kuanzia ngazi ya kata au wilaya. Ikiwezekana mkoa. Hii inakupa connection mkoani na taifa, fahamiana na makada mbalimbali wenye vyeo na uzoefu chamani. (SIASA NI CONNECTION)

4. Hudhuria vikao vyote vya chama vinavyokuhusu na toa hoja, maoni, ushauri, na mapendekezo pale inapobidi. (SIASA NI KUONEKANA)

5.Unga mkono hoja zote za viongozi wako hasa Mwenyekiti ukiwa kikaoni. Anayemshambulia/Anayepingana na Mwenyekiti kikaoni onesha kutomuunga mkono lakini sio waziwazi. Ukitoka nje ya kikao kuwa na misimamo yako. Usipende kuunga mkono wapingaji wa viongozi waziwazi hata kama wana hoja za msingi. (SIASA NI UNAFIKI)

6. Angalia kundi lenye ushawishi na watu wenye nguvu na mtaji wa kisiasa jiunge nalo. Kundi hilo liwe lenye malengo ya kisiasa endelevu kama kupanga safu za uongozi na kupeana sapoti kisiasa. Kama lina ajenda ya kumpinga Mwenyekiti achana nalo. (SIASA NI MAKUNDI)

7. Ukifika wakati wa kugombea nafasi ya uongozi kwenye chama (Mwenyekiti, mjumbe) au serikali (Udiwani, Umeya, Ubunge) tumia mtaji wa watu ambao umejenga mahusiano nao kushinda kwa namna yoyote ile. Hakikisha jina linarudi kupitia uhusiano na Mwenyekiti, unapata kura kwa uhusiano na wajumbe/wanachama na unatangazwa mshindi kwa mahusiano na wasimamizi wa uchaguzi. (SIASA NI FIGISU).

8. Unapokuwa na cheo hakikisha unawapambania waliokupambania ili waendelee kuwa mtaji kwako kisiasa, hata ukuboronga watakuongelea vizuri tu. Ukiwa na cheo cha kufanya uteuzi/teuzi likumbuke kundi lako la kisiasa. (SIASA NI FADHILA).

9. Siku zote usiwaunge mkono wapinzani hata kama wanaongea mambo ya msingi. Watu wenye mlengo wa kisiasa tofauti na CCM wapinge vikali. Ila usisahau kuchukua hoja zao nzuri na kuzifanyia kazi kimya kimya. Wananchi wanataka matokeo sio maneno. (SIASA NI ITIKADI NA IMANI).

10. Ukifanikiwa kisiasa kula maisha. Uzeeni au baada ya kustaafu siasa za CCM omba radhi wale wote uliowakosea wakati wa kutafuta dola. Pia anza kuunga mkono baadhi ya hoja zao kwa kutumia lugha chonganishi au mafumbo. Wengi wao ni wajinga na watafikiri upo upande wao na kusahau yote ya nyuma. (SIASA NI MARIDHIANO)

Hayo ni machache kati ya mengi niliyojifunza na ninayoendelea kujifunza.

ANGALIZO: Usifanye siasa kama kazi yaani asubuhi, mchana, na usiku. Ila ishi kisiasa kwa kuzingatia hayo. Cha msingi kuwa na kazi halali nje ya siasa inayokufanya uishi vizuri. Siasa yako inazaliwa, inakuwa na inazimika hatimaye kufa na kusahaulika.

- MM Nyerere
Spot on! Hongera kwa andiko zuri!
 
Hebu nifuate principle hizi.
Hatua ya kwanza tayari. Nimeimaliza embu niendelee na zingine..!
 
Back
Top Bottom