farmersdesk
Senior Member
- May 26, 2012
- 164
- 125
HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU:
👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku
👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu wa kuku
1.Moja Jenga banda la kufugia kuku wako, Kabla ya kufanya kitu chochote hakikisha umejenga banda, au umepata nyumba ambapo mradi wako wa kuku utajengwa, ukubwa wa banda utategemea
👈Uwezo kifedha
👈Malengo ya uwekezaji
👈Urahisi wa upatikanaji bidhaa
Ukisha jenga banda au kujihakikishia kwamba kuku wako watakaa wapi kisha FUATA hatua hizi
👆2. Mbili. Tafuta vifaranga, au mayai na utotoleshe , au kununua kuku wa rika yoyote utakayo pendelea kulingana na Uwezo wako kifedha pia kuzingatia banda ulilo lijenga
👈Kiusahihi zaidi ni vema kununua Vifaranga, au mayai ya kutotolesha kutoka shamba unaloliamini kuliko kununua kuku wakubwa👏
👆3.Tatu Hakikisha unao uwezo, au umefanya makadirio ya kuhudumia mradi hasa kwa miezi mitano ya kwanza kabla ya kuku kuanza kutaga kwa wale wafugaji wa kuku kwaajili ya kutaga, hii itakusaidia sana kuepusha kasumba ya kukwama katikati ya mradi na kujikuta umeuza kuku kwa kushindwa kuwalisha. (Anzisha kidogo unacho kiweza).
ungana na familia ya wafugaji TELEGRAM kwa jina la ""farmers desk.
AU
INSTAGRAM kwa jina la @farmersdesk‐ tanzania