abdala mbuya
Member
- Jul 20, 2014
- 83
- 9
Kaka we mkubali tu mtoto, jifanye kama ulishapima ukakuta ni wako kaka yangu. Maana hata kwenye Chet cha kuzaliwa umeandikwa wewe, ukipima ukakuta sio wako issue Itakua complicated zaidi.naomba msaada juu ya hatua za kufuata kupima DNA, pamoja na garama zake
Kaka we mkubali tu mtoto, jifanye kama ulishapima ukakuta ni wako kaka yangu. Maana hata kwenye Chet cha kuzaliwa umeandikwa wewe, ukipima ukakuta sio wako issue Itakua complicated zaidi.
Please please please my brother from another mother!!