Hatua za kufuata kupima 'dna'

Hatua za kufuata kupima 'dna'

naomba msaada juu ya hatua za kufuata kupima DNA, pamoja na garama zake
Kaka we mkubali tu mtoto, jifanye kama ulishapima ukakuta ni wako kaka yangu. Maana hata kwenye Chet cha kuzaliwa umeandikwa wewe, ukipima ukakuta sio wako issue Itakua complicated zaidi.

Please please please my brother from another mother!!
 
We waongea pumba tupu
 
Mkuu suala la DNA gumu sana huu uzi wako unachelewa kupata majibu
nenda jukwaa la jf Dokta kuna Dada pale analalamika kuhusu suala kama lako basi kila kitu kipo wazi.

Hatua za kufuta mpaka mwisho ufanikiwe hicho kipimo.
 
pole sana soku hizi ni mitihani tu Abdallah, jamaa yangu kalea watoto mmoja kafikisha miaka 10 mwingine 7 wote anakuja kuambiwa si wa kwake
 
Back
Top Bottom