JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5
Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine
Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini
Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya kuwapima wasafiri kutoka Brazil
Epsilon: Aina hii ilitambulika Februari 2021 huko California Nchini Marekani
Delta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 nchni India na Wataalam wa Afya wanasema inasambaa kwa haraka zaidi kuliko nyingine zote