J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jul 1, 2021 #1 Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5 Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya kuwapima wasafiri kutoka Brazil Epsilon: Aina hii ilitambulika Februari 2021 huko California Nchini Marekani Delta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 nchni India na Wataalam wa Afya wanasema inasambaa kwa haraka zaidi kuliko nyingine zote
Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5 Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya kuwapima wasafiri kutoka Brazil Epsilon: Aina hii ilitambulika Februari 2021 huko California Nchini Marekani Delta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 nchni India na Wataalam wa Afya wanasema inasambaa kwa haraka zaidi kuliko nyingine zote
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jul 1, 2021 #2 Ngoja wataalamu wa vita vya kiuchumi watoto watiifu na warithi halali wa sera za aliyekwenda waje.
tapemeasure Senior Member Joined Jan 15, 2020 Posts 160 Reaction score 106 Jul 3, 2021 #3 Du ni hatari sna