Wana jamaa, ninatanguliza
ushauri wangu wa kitaalamu kuhusu kupunguza maambukizi ya corona nchini Kenya. Hatua aliyochukua rais Uhuru Kenyatta kupiga marufuku watu kuingia na kutoka katika miji ya Nairobi, Mombasa na majimbo ya Kwale na Kilifi bila kuweka ya " total lockdown " ndani ya hayo maeneo, haiwezi kuzuia idadi ya watu watakaoambukizwa kupungua.
Hii amri itasaidia kuzuia maambukizi kuenea katika miji na majimbo mengine ya Kenya, lakini ndani ya jiji la Nairobi na Mombasa, Kilifi na Kwale maambukizi yataendelea.
cc. Tony254
Mwaswast
Sent using
Jamii Forums mobile app