Hatua zilizochukuliwa na Kenya, bado hazitosaidia kupunguza maambukizi mapya.

MJinga wa mwisho huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hua ukibishana naye kuhusu mambo ya Computer Science ama IT, anakujibu akianza na "mimi kama mtaalam wa IT"..... Ukibishana nae kuhusu mambo ya uchumi anasema yeye amebobea maswala ya kiuchumi kwavivyo tumsikilize yeye kama mtaalam wa uchumi...... Corona ilipoanza kushika kasi Kenya, Jamaa akadakia tayari na akawa mtaalam wa Afya

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…