HATUCHEZI HATUCHEZI HATUCHEZI OLE WAKO ENG. HERSI ALLY SAID NA WENZAKO

Akili zilivyo mbovu ndio maana makondoo walifanya kitu wasichokijua mashabiki wasio na akili unawapata yanga umeandika gazeti timu itacheza na upuuzi ulioandika utaumeza!
 
Mtu mwenye msimamo hana maneno maneno kama nyie. Simba yenye msimamo iliongea mara moja ikanyamaza, amebaki the barking dog ndo anabweka huku anarudi kinyume nyume.
 

Kama ni kweli ni
Kama hii ni kweli, nawashauri viongozi wa Yanga watakapoenda kwenye hicho kikao, waende na Haji Manara na mzee Magoma wawe ndio waongeaji wakuu wa klabu yetu.
Na hata ikitokea kulazimishwa kukubali waambieni mkutano mkuu wa dharura ndio utakao amua.
 
TAFUTA PESA DOGO. UKIWA NA PESA AU BUSY KUTAFUTA HUWEZI PATA MUDA WA KUANDIKA HUU UPUPU.
 
Viongozi wenyewe waoga waoga hao usitegemee msimamo wowote
Derby ipo na itachezwa
 
Unaongea kama nani? [emoji23][emoji23] Una hisa huko yanga? Kwenye vikao vya bodi hua unaingia?
 
Ningekuwa mtu wa system, wewe ni mtu unayetakiwa kujulikana na utoe ushahidi ni namna gani waziri alihusika kufanya mechi iahirishwe.
Ninajua mnaongoza kwa propaganda lakini kumbukeni wanachama wenu wengi hawana akili,wataanza kumshambulia waziri kwa matusi.
Viongozi wenu nao hawana akili,wameuwasha moto sasa sidhani kama watauzima tena
 
Utopolo shikilieni hapo hapo....msilete timu uwanjani...dadadadadadekiii......
 
KWANI LAZIMA UKIWA SHABIK WA YANGA UWE PUNGUANI.??

MAANA SIONI MWENYE AFADHALI WOOTE UKIWA FATILIA HAMNAZO.

YANGA FANS IS DISGRACE TO TANZANIA FOOTBALL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…