Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ndiyo huitaji mwanasheria wala Waziri kukupa maelekezo kibao kukuaminisha kuwa eti Dubai ni state kama ilivyowekwa kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai.
Nenda google tu andika "Dubai is a state?" Utajibiwa vizuri tu ila chakushangaza wanasheria wetu waliotumwa huko Dubai kwenda kutuwakilisha wameitaja Dubai kama state katika mkataba!
Kwa maana hii bas! Ata mandate ya kuingia mkataba kati ya Tanzania na Dubai yalipaswa kutolewa na Umoja wa Falme za Kiarabu na sio Dubai kama walivyofanya .