Wanatekeleza ya mkubwa, hata hivyo data za kupikwa inawezekana hata kwa dakika, na ndivyo walivyofanya.HATUJAFANYA UTAFITI: SYNOVET
Kwa wale wenzangu ambao mnafuatilia vyombo vya habari, haijapita wiki mbili tangu kampuni ya Synovet ilipotamka wazi kuwa hawajafanya utafiti kuhusu wagombea wa Urais. Ndani ya juma moja, wametoa matokeo. Mbona wanajikanganya? Unaweza kufanya utafiti nchi nzima, kufanya uchambuzi wa makini na kuchapisha taarifa ndani ya juma moja? Je hii inawezekana?
Labda wametumia data set ya REDET ingawaje matokeo tofauti!