Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,047 Reaction score 13,494 Sep 30, 2013 #1 sio kweli kuwa tumechukua milion 150 pale bank juzi. tumebeba m50 tu. uzushi huu umetusababishia usumbufu mkubwa kati yetu tuliochukua hela hzo. tuna uhakika kuwa hzo m.100 zmechukuliwa na staff wa hyo bank. mwakilishi wa wathubutu.com
sio kweli kuwa tumechukua milion 150 pale bank juzi. tumebeba m50 tu. uzushi huu umetusababishia usumbufu mkubwa kati yetu tuliochukua hela hzo. tuna uhakika kuwa hzo m.100 zmechukuliwa na staff wa hyo bank. mwakilishi wa wathubutu.com