Hatujapata fedha za kujikimu walimu wapya Babati Vijijini

Hatujapata fedha za kujikimu walimu wapya Babati Vijijini

FadaKlontida

New Member
Joined
Jul 13, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Ajira mpya Walimu wilaya ya Babati vijijini hatujalipwa hela za kujikimu tangia tuingie kazini tuna miezi mitano mpaka Leo na hutujui hatima yetu. Tumihoji wanasema HELA haijafika lakini Afya wamepewa.
 
Back
Top Bottom