F FadaKlontida New Member Joined Jul 13, 2026 Posts 1 Reaction score 0 Jul 17, 2026 #1 Ajira mpya Walimu wilaya ya Babati vijijini hatujalipwa hela za kujikimu tangia tuingie kazini tuna miezi mitano mpaka Leo na hutujui hatima yetu. Tumihoji wanasema HELA haijafika lakini Afya wamepewa.
Ajira mpya Walimu wilaya ya Babati vijijini hatujalipwa hela za kujikimu tangia tuingie kazini tuna miezi mitano mpaka Leo na hutujui hatima yetu. Tumihoji wanasema HELA haijafika lakini Afya wamepewa.