HatutikiBinadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya madorali , Mtoto wa Rais ananunua vigaa vya ujenz amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni wasindikizaji.
Inaonyesha inchi inapesa nyingi ila zinahodhiwa na wachache.
Anakubalika sio?
Yan nikiona hii picha naskia kinyaa.
WATANZANIA NI WATU WAPUMBAVU SANA ANAPOTOKEA RAIS MZALENDO MNAMPONDA NA KUMWITA DICTATOR.....
Don't trust a woman!!
Na ninaomba akishinda aiuze yote kabisa maana Watanzania ni wapumbavu sana.Samia hafai kuwa rais. Tukimuacha apate 5 tena, nchi itauzwa hii.
Matako wewe, usikute unataka kumtaja ********WATANZANIA NI WATU WAPUMBAVU SANA ANAPOTOKEA RAIS MZALENDO MNAMPONDA NA KUMWITA DICTATOR.....