Hatujapoa ya mtoto wa Mombo yanakuja ya Abduli

Bibie kashika Dola laki 3 anawanyoshea dole la kati ...kwamba mnapigwa hiii nyie...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila naskia binti kaathirika na mitusi na laana naskia alitaka kujiua
Aaaah wapiii haiwezekaniii
 
Naomba pia uiangalie hiyo hapo juu ya hao masista.
Dunia hii haina ukomo wa kushangaza kwa kweli!
 
Kuna mnasahau mchezaji mmoja mzanzibari mjinga mjinga tu alipewa mamilioni mwanzo tu na huyu maza ushauri wa huyu bwamdogo.
 
WATANZANIA NI WATU WAPUMBAVU SANA ANAPOTOKEA RAIS MZALENDO MNAMPONDA NA KUMWITA DICTATOR.....

Sayed
 
Ulikosea picha kabisa si inabaki umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…