Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili.
Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere ambayo ndiyo kubwa kuliko zote Tz, Mto Ugalla na Burigi-Chato. Hizi ni zaidi ya kmsq 35000.
Wakati wake aliwezesha upigwaji marufuku wa mifuko ya plastiki. Bila kusahau alianzisha jumamosi ya usafi kila mwisho wa mwezi.
Apewe maua yake.