Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Kwa kweli Wtz hutujui kutengeneza matangazo ya biashara lakini nimeliangalia tangazo la Simtank ambalo limemshirikisha mchekeshaji Ramadhani Mwinshehe 'Kingwendu' kwa kweli nimelikubali pamoja na kasoro zake chache. hebu nawe sema chochote kuhusu hili au macho yangu yana makengeza!
Pale hakuna ubunifu, uozo mtupu.mie nalichukia lile la Aietel Wamekata sipendi hata kulisikia
mie nalichukia lile la Aietel Wamekata sipendi hata kulisikia
Pale hakuna ubunifu, uozo mtupu.
Hasa yule mdada anaesema nanukuu 'Nimetumiwa mchango wa HARUSI yangu wamekata'. Hivi dada huwa anapewa mchango wa harusi au ni kaka?! Naomba kukosolewa.
La Kingwendu nalo duu huwa sitamani hata kuliangalia!
Tangazo lenye mashiko angalau ni lile la TUKO WANGAPI tulizana.
tangazo ni lile la zantel epic nation bana......hawa wengine wanachekesha tu