Elections 2015 Hatukai mita 200 kufanya vurugu Bali tunakaa mita mia mbili kuzuia

Jk aelewe tanzania ya sasa sio ya miaka ya zamaini......hii ni inch yetu sote....hii inch sio inch ya familia ya Jk.

Yeye katoa tahadhari wewe na mie tuna utashi wa kukubali ama kukataa
 
na wakimaliza kuhesabu kura watawatangazia wananchi...................................???
 
UKAWA Mmeambiwa
baada ya kupiga kura
muende nyumbani
hamuelewi sasa nasema na
mpigwe tu maana hakuna
namna tena
 
UKAWA Mmeambiwa
baada ya kupiga kura
muende nyumbani
hamuelewi sasa nasema na
mpigwe tu maana hakuna
namna tena

Tupigwe kwa kosa gani wewe huo udikteta wako ambao jk tume na police wanakufundisha hatutauvumilia sisi ni watu wa sheria na tynafuata sheria inavyosema basi si katuni ya aina yoyote
 

na Richard Lowassa naye atoke London tuje tushirikiane naye, asitutegee!
 
Nyie mnatumia uhuru vibaya.kazi ya kulinda mmepewa na nani.ulinzi una taratibu na sheria zake.waliokabidhiwa jukumu hili kisheria watakushughulikia mapema.wapenda amani na maendeleo tupige kura zetu kwa ccm twende tukafanye shughuli nyingine.namba yetu ni tatu au utatu.Baraka tupu.Namba ya tatu pigia wote watatu wa ccm
Magufuli
Mbunge
Diwani



 

Mkuu pia jambo lingine ni kuhakikisha kuwa ulinzi na ukaguzi wa vyombo vya kupigia kura pamoja na makaratasi uanze usiku wa tarehe 24 na ufanywe na vijana wa UKAWA wenyewe ili kucomfirm kila kitu maana hawa jamaa wanaweza wakafanya mbinu zao usiku kabla ya kuamkia siku ya kupiga kura.
 
wanawake mkapike wame zenu tutasubiri kula mkong'oto wa fidifosi
Hakipikwi wala hakiliwi kitu hadi kieleweke
Labda tu uji wa watoto ambao utapikwa mapema sana na kujazwa kwenye kidumu cha lita tano teh siku hiyo sio thermos
 
Hakipikwi wala hakiliwi kitu hadi kieleweke
Labda tu uji wa watoto ambao utapikwa mapema sana na kujazwa kwenye kidumu cha lita tano teh siku hiyo sio thermos
sasa watoto watalishwa na nani, maana hadi bekitatu atakuwa analinda kura
 
Sheria gani inayokuruhusu na kukupa nguvu wewe kuwa mlinzi? Sheria ya uchaguzi haikupi hiyo kazi uliyojitungia.Kazi hiyo ya wakala wa chama chako.Wewe usije vunjwa miguu bure.MBOWE wala LOwasa hawawezi kuja kukuwekea dhamana wala kulisha familia yako

mkuu hii si kwa ajili ya mbowe wala Lowassa, ni kwa ajili ya Tanzania yetu.
Na hatuogopi kufa wala kuvunjwa miguu, mtavunja wangapi?
 
ni kinyume cha sheria KUKAA nje ya kituo.

kwanini msipige kura, mrudi baada ya kupiga kura kuisha alafu msome matokeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…