Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
sasa watoto watalishwa na nani, maana hadi bekitatu atakuwa analinda kura
Nshanunua Solex siku hiyo nyumba inafungwa. Wote kituoni kumpigia kura lowasa na UKAWA na kulinda kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa watoto watalishwa na nani, maana hadi bekitatu atakuwa analinda kura
Tii sheria bila shuruti hii ni muhimu lkn uwazi katika zoezi hili ni muhimu
Tunaiomba serikali isiruhusu hawa wavuta bangi wakae maeneyo ya kupigia kura, wanasumbua sana wakina mama, ukipita unatolewa vitisho, wakiona kijana amevaa vazi la chama wanamtishia maisha. Ili watanzania tuweze kupiga kura kwa amani tunaliomba jeshi la polisi lisiwaruhusu hawa wahuni kutuletea usumbufu.