Elections 2015 Hatukai mita 200 kufanya vurugu Bali tunakaa mita mia mbili kuzuia

Kazi yakulinda wewe nani! acheni ukichaa ulinzi umepewa na nani? pigakura nenda kwenu tulia au kafanye kazi sivyo utavunjwa miguu kipuzi puzi
 
Tii sheria bila shuruti hii ni muhimu lkn uwazi katika zoezi hili ni muhimu

sheria inasema watu wakae mita 200 kutoka kituoni,hiyo ndiyo tutaitii bila shuruti.kuna nyingine zaidi ya hiyo?
 
Tunaiomba serikali isiruhusu hawa wavuta bangi wakae maeneyo ya kupigia kura, wanasumbua sana wakina mama, ukipita unatolewa vitisho, wakiona kijana amevaa vazi la chama wanamtishia maisha. Ili watanzania tuweze kupiga kura kwa amani tunaliomba jeshi la polisi lisiwaruhusu hawa wahuni kutuletea usumbufu.
 

Mvuta bangi jk na police na wahuni ni tume sheria inasema hivi wao wanataka kupindisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…