Hatuko mbali na ww3, nuclear war

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kwa jicho la kawaida unaona ni Mambo ya kawaida. Ukweli ni kwamba WW3 Inakaribia.

Kinachoendelea Middle East sio cha kawaida. Ukweli ni kwamba dunia inaenda kudondoka. Mwisho wake umefika. Siraha zilizopo duniani zinatisha.

Dunia haina miaka kumi mbele. Kuna hatari kubwa mbele yako
 
Tatizo kubwa ni US aache ubinafsi na selective democracy ndo tuwe salama zaidi.
 
Sisi tupo na msaudi,UAE and china hio vita itakua na US,the rest of Middle East and NATO except hizo nilizotaja,ukiangalia mama yupo busy na hao watu kwakua wapo stable sn,athari yamoja kwa moja kwa TZ ni ndogo sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…