Zingine ziende na zingine zisiende alafu unasema network?!🤯Network ya ulipo
Hatuko salama even kwenye face to face conversation...dunia ya wenyewe hiiInasikitisha na ina hatia hasira sana. Kinachoondelea Vodacom wanasoma meseji na kusikiliza maongezi ya wateja wao ambapo ni kinyume na sheria.
Vifurushi ninunue mm tena mniuzie kwa bei ghari na mnipangie cha kutuma. Kwann? Kila siku mnapandisha vifurushi na bado mnaingilia privacy za wateja wenu. Mnatafuta nini?
Leo mke wangu alisema ananitumia picha zake. Cha kushangaza kila nikiandika meseji hii 'amezituma whatsapp au facebook?' na meseji zinazofanana na hizo haziendi ila nikituma zingine zinaenda. Hilo hizo haziendi. Kwanini? Nimezituma tena na tena zimegoma kwenda. Kwanini?
Vodacom nyinyi kazi yenu ni kupeleka ujumbe, haijalishi una maudhui gani. Hayo mengine wala hayawahusu.
Mnabahati sana tuko kwenye dunia ya 3 ambapo sheria ametungiwa masikini. Tungekuwa dunia ya kwanza, ningewapeleka mahakamani na mngenilipa kwa kuniletea usumbufu. Siokoti hela, nazitafuta kwa jasho.
Hizi ni meseji zenye alama nyekundu. Zimeshindwa kwenda. Sasa hivi natuma meseji haziendi kabisa.
Mshamba wa simu huyo, kitu kidogo anakurupuka na tuhuma za Pentagon.Hapo hakuna technical evidence ya ujumbe kusomwa. Kinachoonekana ni words filtering ambayo inaweza kuwa kwao au kwenye SMS application unayotumia.
Najua mara moja utajbu wewe hujaweka filter yoyote, unaweza kuwa sawa lakini kuna app bugs, hilo ni tatizo kwenye application unayotumia ambapo mara nyingi hutokea baada ya updates
Jaribu tena kutuma msgs hizo hizo kwa kutumia ROM default SMS app uone kama bado zitagoma
Sio kweli. Kuna app kma Signal zinazotumia end to end encryption na zinaendeshwa na non profit organization. Hata ukienda kuiba database zao huwezi soma msg ya mtu yoyote bila keys zilizopo kwenye simu ya muhusika. Na hizo keys kwenye simu ya muhusika hazionekani kirahisi rahisi.Duniani kote mawasiliano yanakuwa tapped ukitaka acha kutumia mawasiliano ya kisasa urudi kwenye ujima. By way kama huvunji sheria za nchi kwa nini uwe na wasiwasi?
Kwenye point ya kutovunja sheria hapo huwezi kuwa na uhakika kuwa hujavunja sheria yoyote kupitia simu yako na matumizi yako.Duniani kote mawasiliano yanakuwa tapped ukitaka acha kutumia mawasiliano ya kisasa urudi kwenye ujima. By way kama huvunji sheria za nchi kwa nini uwe na wasiwasi?
Hicho ulichokisema ni nadharia tu mkuu siyo uhalisia. Siku ukisoma zaidi mambo ya computer na applications zake utajua zaidi. Vyombo vya usalama duniani haviwezi kukubali kuwa na application ambayo hawana uwezo wakuijua in and out hata huyo mtengenezaji anajua loop hole zake.Sio kweli. Kuna app kma Signal zinazotumia end to end encryption na zinaendeshwa na non profit organization. Hata ukienda kuiba database zao huwezi soma msg ya mtu yoyote bila keys zilizopo kwenye simu ya muhusika. Na hizo keys kwenye simu ya muhusika hazionekani kirahisi rahisi.
Watakachoweza ona ni username tu labda na contacts details. Lakini content za msg hawazioni
Punguza Ugolo mkuu, Sasa hapo Vodacom wamesoma meseji vipi ?
Kwanini usingeuliza unapotuma meseji haziendi tatizo ni Nini ili usaidiwe!?