Hatukuwahi kuwa na mchakato wa Katiba. Kikosi kazi cha nini sasa?

Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena??

CCM inajua sana kufuja fedha za watanzania...
Kazi yake ni kuwasilisha rasimu ya katiba ambayo itahakikisha mambo yanabaki kama ya yalivyo huku ikidaiwa ni katiba mpya. Kama tulivyo kwenye kiinimacho cha kudhani tumo kwenye mfumo wa vyama vingi.
 
CCM wanapenda kufanya mazingaombwe, na kuna watanzania wenzetu wanasisimuliwa nayo!!!
 
Back
Top Bottom