Hatuna bahati, tumekufa kiume, tumejitahidi

Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika

Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
Hakuna cha bahati simba mbovuna wydad pia wabovu kwa mpira hule wa jana hata yanga angeshinda kwa wydad..

Viongozi wa Simba waache masikhara kwenye swala la usajili wawe serious..

Kuna wachezaji viwango vimeshuka sana onyango ni mfano tu.
 
Hakuna kufa kiume, simba inabidi tujue kucheza game ya nyumbani, kutumia nafasi hawa kenge hapa nyumbani walikuwa wafe 3, tukacheza mdako, tukaridhika na kimoja, tumeenda kule wachezaji hawajiamini, ni INONGA pekee alicheza kwa utulivu, wengine woote kina mzamiru utulivu sifuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…