covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Hakuna cha bahati simba mbovuna wydad pia wabovu kwa mpira hule wa jana hata yanga angeshinda kwa wydad..Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika
Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
Viongozi wa Simba waache masikhara kwenye swala la usajili wawe serious..
Kuna wachezaji viwango vimeshuka sana onyango ni mfano tu.