Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Hatuna deni na huyu Mwambašš¼ Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee Resit tu yaishe!Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k
Hutaki tujadili legacy ya mzee?Bwashee Resit tu yaishe!
Huyu Mwamba huyu alikuwa ni kiumbe wa ajabu sana kuwahi kutokea barani Afrika.Hatuna deni na huyu Mwambašš¼ Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
Ni nchi kama ipi haina hayo mambo? Unaijua hata moja!Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k
Unaweza thibitisha hoja yako kwa ushahidi usio na shaka.Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k
Ndioo,wengi wameachwa yatima,hasa wale wapolaji,panya Road na wale waliohusika na kibiti.Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k