Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Mturinga unakuhusu mbweh mkubwAchomwe moto uko aliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mturinga unakuhusu mbweh mkubwAchomwe moto uko aliko
Hivi,kuna kiongozi yeyote duniani anaweza kuungwa mkono 100% au kuchukiwa 100%??? Huyu mama angekuwa anasoma hizi comment,nadhani angesema bora angebaki tu na cheo cha awaliAlikuwa katili sn lakini alikuwa na maono tofauti na hii balaa aliyotuachia haijui hata inafanya nini
Wale aliwaacha namna hiyo ni wale wapumbavu ambao hawakupenda kubadirikaWengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k