Mudawote JF-Expert Member Joined Jul 10, 2013 Posts 10,771 Reaction score 14,129 Dec 23, 2023 #21 Eng. Zezudu said: Achomwe moto uko aliko Click to expand... Mturinga unakuhusu mbweh mkubw
T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 3,692 Reaction score 5,647 Dec 23, 2023 #22 Bejamini Netanyahu said: Alikuwa katili sn lakini alikuwa na maono tofauti na hii balaa aliyotuachia haijui hata inafanya nini Click to expand... Hivi,kuna kiongozi yeyote duniani anaweza kuungwa mkono 100% au kuchukiwa 100%??? Huyu mama angekuwa anasoma hizi comment,nadhani angesema bora angebaki tu na cheo cha awali
Bejamini Netanyahu said: Alikuwa katili sn lakini alikuwa na maono tofauti na hii balaa aliyotuachia haijui hata inafanya nini Click to expand... Hivi,kuna kiongozi yeyote duniani anaweza kuungwa mkono 100% au kuchukiwa 100%??? Huyu mama angekuwa anasoma hizi comment,nadhani angesema bora angebaki tu na cheo cha awali
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Dec 23, 2023 #23 Johnny Sack said: Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k Click to expand... Wale aliwaacha namna hiyo ni wale wapumbavu ambao hawakupenda kubadirika
Johnny Sack said: Wengi amewaacha yatima na wengine vilema vya maisha, wengine kuwafiisi, huku wengine akiwapa ubilionea kama akina Sabaya na Makonda n.k Click to expand... Wale aliwaacha namna hiyo ni wale wapumbavu ambao hawakupenda kubadirika
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 23, 2023 #24 R i.P JPM
Mwamaleki JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 727 Reaction score 2,969 Dec 23, 2023 #25 Acheni kuongea kama makumer. Magufuli ndiye ametufikisha hapa tulipo. Kwenye huu upumbavu. Asingekataa katiba mpya tungekua tunaweza kuwajibisha hawa tanesco. Acheni kuongea kama mmekkalia vitu vya moto
Acheni kuongea kama makumer. Magufuli ndiye ametufikisha hapa tulipo. Kwenye huu upumbavu. Asingekataa katiba mpya tungekua tunaweza kuwajibisha hawa tanesco. Acheni kuongea kama mmekkalia vitu vya moto