Hatuna Forensic Science digrii/diploma Tz?

Kuna kesi nyingi sana serikali inashndwa kwa kukosa wataalam ktk nyanja hio,hasa kesi za jinai,mpelelezi hajui aanzie wapi,forensic science is a Must,kama tunataka justice kwny mahakama zetu.

Bale UDSM kuna kozi mbili zinatoa hayo masomo, Bachelor of Law Enforcement na Bachelor of Art in Archeology, nadhan maboresho ni mhm!

Bale UDSM kuna kozi mbili zinatoa hayo masomo, Bachelor of Law Enforcement na Bachelor of Art in Archeology, nadhan maboresho ni mhm!

Mkuu hizo bachelor huenda ndani yake kuna somo au course ya forensic lakini si kwamba wanatoa degree ya forensic. I stand to be corrected

Mkuu hizo bachelor huenda ndani yake kuna somo au course ya forensic lakini si kwamba wanatoa degree ya forensic. I stand to be corrected

No need of correction hapo HAWANA!!

@Gagurito

Barchelor of Art in Archaeology inaendeshwa at a theoratical Basis... for there
is enough researched ethnographic studies (which at UDSM is centred at...)
to go round about....

Barchelor of Archaeology ndio afadhali hata ina field Programs since the first year,
lakini hawana kabisa vifaa... ikikutwa artfact ya maana mpaka Dr/Proff aende nayo nje au itumwe...

Mkuu hizo bachelor huenda ndani yake kuna somo au course ya forensic lakini si kwamba wanatoa degree ya forensic. I stand to be corrected
Forensics is the application of broad spectrum to aid legal system,and a word forensic means finding out about something,so it is different frm the fore mentioned course..forensic science ina branch nyng na zote zinalenga kusaidia ushahd wa kisayans ktk makosa ya jinai,mf.forensic toxicology,forensic chemistry,forensic accounting,forensic botany,forensic medicine,forensic psychology,forensic DNA,Forensic anthropology etc,hii ni natural and pure science na sio arts,forensic its all abt laboratory(crime lab)

Nimekupata Mkuu. Kwa hiyo hapa kwenye forensic accounting na auditing nadhani wanachanganya pure science na arts au?

Nimekupata Mkuu. Kwa hiyo hapa kwenye forensic accounting na auditing nadhani wanachanganya pure science na arts au?
Ha ha ha!hapo nadhan wana deal na fraud,forggery etc,lakn bado ni forensic ni science 80% mkuu.

Ndugu yangu MMKJ

Ile DNA Analyser wengine wanaiita sequencer pale kwa mkemia mkuu ni white elephant, sijui hata kama imeishawashwa na kutumika, ipo kisiasa zaidi si kwenye kusaidia issue za kisheria.....

Ndugu Mchungaji, je ulishawahi fika ofisi ya mkemia mkuu ukaulizia kama hiyo mashine inafanya kazi au la??? Majibu yako hayana chembe ya ukweli, hujatutendea haki wasomaji wa JF. Mi najua ipo na inafanya kazi.

Katika elimu ni bahati mbaya kwamba watanzania na serikali yao wanapenda vitu rahisi. Angalia kila mtu leo anataka kusoma management, finance, accountancy, law etc. je hiyo sayannsi nani ataifikiria??

Hebu jiulize MM Mwanakijiji, ni watoto wa vigogo wangapi wamesoma sayansi au engineering? Hebu anagalia pale UDSM iliyokuwa faculty of engineering, ni kubadili majina tu lakini tangu mjerumani atujengee majengo ya le na kuweka mashine, sisi hata kukarabati majengo tu tumeshindwa?

Hapa issue mkuu ni kwamba Serikali zetu Tanzania zinafikiria miaka 5 tu na siyo zaidi.

Mzee Mwanakijiji
Forensic Science ni fani inayohusisha masomo mengi tofauti ambayo yanasaidia katika masuala mazima ya kuchunguza na kumjua mhalifu. Inahusu masomo kama biologia, chemia, zoologia, sociology, Law, Archeology nk. Katika kitengo cha Forensic kinakuwa na wataalamu mbalimbali wenye background toauti. Hawa wakikaa pamoja kila mtu na fani yake ndio huunda kikosi cha uchunguzi. Hapa nchini na hasa hapa UDSM hatuna idara moja yenye kufundisha package nzima ya Forensic, bali tuna idara moja ya kemia na nyingine ya Molecular Biolojia ndio wana kozi moja moja tu ya Forensic chemistry na practical in molecular biology. Hapo nyuma polisi kwa kushirikiana na ubalozi wa USA walianzisha hasa idara ya Forensic kwa mtazamo wa kileo, maana zamani walikuwa wanaangalia Finger printing pekee bila kuhusisha vitu vingine. Sasa katika kufikia lengo la kuwa na kitengo hicho, Polisi waliajiri vijana wengi tu waliosoma masomo hayo kama chemia, biologia, Physizikia nk. Mimi nilikuwa miongoni mwao na baada ya kufika pale, nilikuwa head wa idara ya biologia. Nilikaa pale kwa miezi miwiili tu, nikaacha kazi maana pamoja na nia nzuri ya serikali ya kuibadilisha floor nzima ya pili pale uhamiaji kuwa katika lab ya kisasa lakini hakukuwa na kifaa hata kimoja. Hadi hii leo napokuambia hiyo lab haijaanza kazi na wala haina vifaa, na vijana hao wanakwenda kila siku kazini, wanasaini na kuondoka. Hii ndio Tanzania zaidi ya unavyoijua kaka MM Mwanakijiji

Ndugu yangu MMKJ

Ile DNA Analyser wengine wanaiita sequencer pale kwa mkemia mkuu ni white elephant, sijui hata kama imeishawashwa na kutumika, ipo kisiasa zaidi si kwenye kusaidia issue za kisheria.....

Ndugu Mchungaji, je ulishawahi fika ofisi ya mkemia mkuu ukaulizia kama hiyo mashine inafanya kazi au la??? Majibu yako hayana chembe ya ukweli, hujatutendea haki wasomaji wa JF. Mi najua ipo na inafanya kazi.

Mwanakijiji
Muambie huyo mdogo wako aende Mlimani kutapa details zaidi.
Kuna program pale imeanza huu ndio mwaka wa pili inaitwa
"BA in Law Enforcement" kuna courses ndani yake za forensic science.

Pata pale details zaidi kama itameet expectations yako.

MMKJJ,

Ina maana bado ana dhamira ya kusoma course hiyo hadi sasa?

Wazo zuri lakini nafikiri pale UDSM watu wanafanya kazi kwa mazoea sana.Kimsingi wameshindwa kubadilika kwenda na wakati.Kila mara wanazungumzia uwepo wa pesa,bajeti haitoshi wakati kuna mambo mengine yanahitaji ubunifu na pesa inakuja baada lakini kimsingi hakuna
initiave watu wanataka kuongezewa budge tu!

jamani mbona hili lipo tayari; someni sheria ya Public Prosecutor ya 2007.. inawezekana kuwa independent prosecutor kama ilivyo US. Tatizo ni kuwa wanaogopa sana hilo...

MMKJJ,

Ina maana bado ana dhamira ya kusoma course hiyo hadi sasa?

ooh ameshaanza... tulimtafutie kozi hiyo nje ya nchi; na amepata ile anayotaka kabisa - criminal forensics na jinsi anavyoenda sasa.. well she will be good. Ameenda kuanza summer internship kwenye Police Department moja hapa...

Duh kwa kweli nimesikitika; natumaini swali hili itabidi tumrushie Waziri mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani. I have vested interests katika haya mambo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…