The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
Kuna kesi nyingi sana serikali inashndwa kwa kukosa wataalam ktk nyanja hio,hasa kesi za jinai,mpelelezi hajui aanzie wapi,forensic science is a Must,kama tunataka justice kwny mahakama zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bale UDSM kuna kozi mbili zinatoa hayo masomo, Bachelor of Law Enforcement na Bachelor of Art in Archeology, nadhan maboresho ni mhm!
Mkuu hizo bachelor huenda ndani yake kuna somo au course ya forensic lakini si kwamba wanatoa degree ya forensic. I stand to be corrected
Forensics is the application of broad spectrum to aid legal system,and a word forensic means finding out about something,so it is different frm the fore mentioned course..forensic science ina branch nyng na zote zinalenga kusaidia ushahd wa kisayans ktk makosa ya jinai,mf.forensic toxicology,forensic chemistry,forensic accounting,forensic botany,forensic medicine,forensic psychology,forensic DNA,Forensic anthropology etc,hii ni natural and pure science na sio arts,forensic its all abt laboratory(crime lab)Mkuu hizo bachelor huenda ndani yake kuna somo au course ya forensic lakini si kwamba wanatoa degree ya forensic. I stand to be corrected
Forensics is the application of broad spectrum to aid legal system,and a word forensic means finding out about something,so it is different frm the fore mentioned course..forensic science ina branch nyng na zote zinalenga kusaidia ushahd wa kisayans ktk makosa ya jinai,mf.forensic toxicology,forensic chemistry,forensic accounting,forensic botany,forensic medicine,forensic psychology,forensic DNA,Forensic anthropology etc,hii ni natural and pure science na sio arts,forensic its all abt laboratory(crime lab)
Ha ha ha!hapo nadhan wana deal na fraud,forggery etc,lakn bado ni forensic ni science 80% mkuu.Nimekupata Mkuu. Kwa hiyo hapa kwenye forensic accounting na auditing nadhani wanachanganya pure science na arts au?
Ndugu yangu MMKJ
Ile DNA Analyser wengine wanaiita sequencer pale kwa mkemia mkuu ni white elephant, sijui hata kama imeishawashwa na kutumika, ipo kisiasa zaidi si kwenye kusaidia issue za kisheria.....
Kuna dadangu mdogo mmoja anataka kuja kusomea mambo hayo ya forensics (nadhani amekuwa kiangalia CSI na NCSI too much) na sasa anataka kujifunza mambo hayo ili kusaidia katika mambo ya kupambana na uhalifu. Nimemuuliza kwanini asitafute Chuo TZ ambacho kinafundisha kozi hizo na nitamsaidia kugharimia.
Anarudi na kuniambia kuwa hajaona kozi yoyote ya mambo ya forensics kwa kiwango cha shahada. Sasa sijui hii ni kweli?
Nilipoangalia lile tukio la ujambazi Temeke na matukio mengine ya uhalifu ninajiuliza hivi tunatumia teknolojia gani au mbinu gani za kisasa katika sayansi ya mambo ya uhalifu (criminology)?
Je, ipo haja ya kuwa na watu waliosomea katika forensics ndani ya nchi au tutaendelea kuwapeleka nje ya nchi mmoja mmoja? Je, kwa yawezekena kwa UDSM kuanzisha kozi ya namna hiyo ambayo itavutia labda wanafunzi kutoka sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki na Kati hasa kutokana na uwepo wa uhalifu wa kila aina na vita badala ya kuendelea kutegemewa wakwe zetu kututumia forensics experts kila tunapopatwa na majanga makubwa?
Oh we are too poor to afford such a modern necessity in law enforcement?

Ndugu Mchungaji, je ulishawahi fika ofisi ya mkemia mkuu ukaulizia kama hiyo mashine inafanya kazi au la??? Majibu yako hayana chembe ya ukweli, hujatutendea haki wasomaji wa JF. Mi najua ipo na inafanya kazi.
Ndugu yangu MMKJ

Ile DNA Analyser wengine wanaiita sequencer pale kwa mkemia mkuu ni white elephant, sijui hata kama imeishawashwa na kutumika, ipo kisiasa zaidi si kwenye kusaidia issue za kisheria.....
DNA yenyewe unaambiwa hadi Nairobi,Embarrasement!
Kuna dadangu mdogo mmoja anataka kuja kusomea mambo hayo ya forensics (nadhani amekuwa kiangalia CSI na NCSI too much) na sasa anataka kujifunza mambo hayo ili kusaidia katika mambo ya kupambana na uhalifu. Nimemuuliza kwanini asitafute Chuo TZ ambacho kinafundisha kozi hizo na nitamsaidia kugharimia.
Anarudi na kuniambia kuwa hajaona kozi yoyote ya mambo ya forensics kwa kiwango cha shahada. Sasa sijui hii ni kweli?
Nilipoangalia lile tukio la ujambazi Temeke na matukio mengine ya uhalifu ninajiuliza hivi tunatumia teknolojia gani au mbinu gani za kisasa katika sayansi ya mambo ya uhalifu (criminology)?
Je, ipo haja ya kuwa na watu waliosomea katika forensics ndani ya nchi au tutaendelea kuwapeleka nje ya nchi mmoja mmoja? Je, kwa yawezekena kwa UDSM kuanzisha kozi ya namna hiyo ambayo itavutia labda wanafunzi kutoka sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki na Kati hasa kutokana na uwepo wa uhalifu wa kila aina na vita badala ya kuendelea kutegemewa wakwe zetu kututumia forensics experts kila tunapopatwa na majanga makubwa?
Oh we are too poor to afford such a modern necessity in law enforcement?
Kweli! Dhumuni la kuwa na Genetic analyzer kwa mkemia mkuu ni nini then?
Sula la Independent prosecutors hilo litawaletea watawala mawenge...Kuna haja ya kulivalia njuga hili suala ili liwe na special constitutional Provision kama ilivyo Ghana na South Africa(Hawa Pengine rekodi yao ya Uhalifu ndiyo ilyowasukuma zaidi kwa hili)
Pia Tatizo ni kwamba bado Tanzania na hii serikali iliyoshindwa haioni umuhimu wa ku-breed experts within our borders.Hatuna Medium and Long term investment in Intellectualism,professionalism e.t.c. Reverend Kishoka alisema mambo yetu na maamuzi yetu ni kwa ajili ya matokeo kama ya matumizi ya viagra tu,zimamamoto(Quick fixing). Ni Taifa pengee linalobembea kwenye dharura miaka 50
MMKJJ,
Ina maana bado ana dhamira ya kusoma course hiyo hadi sasa?
Mzee Mwanakijiji
Forensic Science ni fani inayohusisha masomo mengi tofauti ambayo yanasaidia katika masuala mazima ya kuchunguza na kumjua mhalifu. Inahusu masomo kama biologia, chemia, zoologia, sociology, Law, Archeology nk. Katika kitengo cha Forensic kinakuwa na wataalamu mbalimbali wenye background toauti. Hawa wakikaa pamoja kila mtu na fani yake ndio huunda kikosi cha uchunguzi. Hapa nchini na hasa hapa UDSM hatuna idara moja yenye kufundisha package nzima ya Forensic, bali tuna idara moja ya kemia na nyingine ya Molecular Biolojia ndio wana kozi moja moja tu ya Forensic chemistry na practical in molecular biology. Hapo nyuma polisi kwa kushirikiana na ubalozi wa USA walianzisha hasa idara ya Forensic kwa mtazamo wa kileo, maana zamani walikuwa wanaangalia Finger printing pekee bila kuhusisha vitu vingine. Sasa katika kufikia lengo la kuwa na kitengo hicho, Polisi waliajiri vijana wengi tu waliosoma masomo hayo kama chemia, biologia, Physizikia nk. Mimi nilikuwa miongoni mwao na baada ya kufika pale, nilikuwa head wa idara ya biologia. Nilikaa pale kwa miezi miwiili tu, nikaacha kazi maana pamoja na nia nzuri ya serikali ya kuibadilisha floor nzima ya pili pale uhamiaji kuwa katika lab ya kisasa lakini hakukuwa na kifaa hata kimoja. Hadi hii leo napokuambia hiyo lab haijaanza kazi na wala haina vifaa, na vijana hao wanakwenda kila siku kazini, wanasaini na kuondoka. Hii ndio Tanzania zaidi ya unavyoijua kaka MM Mwanakijiji