Kufuatia kuboreshwa kwa matokeo ya CSEE 2012, matokeo hayo yatakuwa mazuri zaidi ya yale ya kwanza na kwamba hakuna mwanafunz atakaeshuka ufaulu na hili ndilo linalonipa wasiwasi.
Mimi kama msomi na mdau mkubwa wa elimu, nimejiuliza maswali mengi sana bila majibu hivyo comments zenu ndio zitakazojibu maswali yangu ambayo ni kama ifuatavyo;
1. Matokeo ya kidato cha sita 2015 yatakuwaje?
2. Nchi yetu inaanda wasomi wa aina gani au ndo kutekeleza ile sera ya education for all (EF100)
3. Kwa wadau wazuri wa elimu, bila shaka mnawajua vizuri watu kama Issa Shivji, Walter Rodney, Rwaitama, Benson Bana, Prof Baregu na wenaine wengi na bila shaka mnatambua mchango wao katika jamii, swali ni je, kwa staili hii ya elimu na huu uaoreshaji wa matokeo, unafikiri tutapata watu kama hawa kwa vizaz vijavyo hapa Tanzania?