Hatuna haja ya kufurahia matokeo mapya CSEE 2012

K2S7J3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
449
Reaction score
332
Kufuatia kuboreshwa kwa matokeo ya CSEE 2012, matokeo hayo yatakuwa mazuri zaidi ya yale ya kwanza na kwamba hakuna mwanafunz atakaeshuka ufaulu na hili ndilo linalonipa wasiwasi.

Mimi kama msomi na mdau mkubwa wa elimu, nimejiuliza maswali mengi sana bila majibu hivyo comments zenu ndio zitakazojibu maswali yangu ambayo ni kama ifuatavyo;

1. Matokeo ya kidato cha sita 2015 yatakuwaje?

2. Nchi yetu inaanda wasomi wa aina gani au ndo kutekeleza ile sera ya education for all (EF100)

3. Kwa wadau wazuri wa elimu, bila shaka mnawajua vizuri watu kama Issa Shivji, Walter Rodney, Rwaitama, Benson Bana, Prof Baregu na wenaine wengi na bila shaka mnatambua mchango wao katika jamii, swali ni je, kwa staili hii ya elimu na huu uaoreshaji wa matokeo, unafikiri tutapata watu kama hawa kwa vizaz vijavyo hapa Tanzania?
 
hii nchi inaelekea kuwa zoo, watu wasioweza kuhoji wala kufikiri wanaongezeka kwa kasi na ndio wanaweka amani ya nchi in jeopardy.
 
ningeiomba serikali watu kama hawa uwachukulie hatua b'se wanasababisha uvunjifu wa amani nchini
 
Kufuatia kuboreshwa kwa matokeo ya CSEE 2012, matokeo hayo yatakuwa mazuri zaidi ya yale ya kwanza na kwamba hakuna mwanafunz atakaeshuka ufaulu na hili ndilo linalonipa wasiwasi.

Mimi kama msomi na mdau mkubwa wa elimu, nimejiuliza maswali mengi sana bila majibu hivyo comments zenu ndio zitakazojibu maswali yangu ambayo ni kama ifuatavyo;

1. Matokeo ya kidato cha sita 2015 yatakuwaje?

2. Nchi yetu inaanda wasomi wa aina gani au ndo kutekeleza ile sera ya education for all (EF100)

3. Kwa wadau wazuri wa elimu, bila shaka mnawajua vizuri watu kama Issa Shivji, Walter Rodney, Rwaitama, Benson Bana, Prof Baregu na wenaine wengi na bila shaka mnatambua mchango wao katika jamii, swali ni je, kwa staili hii ya elimu na huu uaoreshaji wa matokeo, unafikiri tutapata watu kama hawa kwa vizaz vijavyo hapa Tanzania?

mkuu hilo lisikuumize kichwa , ninachojua mimi waliopita kwa bahati mbaya mwisho wao ni form six, na kawa alistahili ataweza kuruka kiunzi cha form six, ila naona kwa jinsi matokeo yalivyoeditiwa umesahau kuna vichwa vilkuwa na one zao, toka mwanzo!
 
Muwe waelewa serikari haijatangaza mitihani isahihishe upya isipokua walikua wanarekebisha grade ambazo zinatumika kila mwaka kufaulisha wanafunzi.
 
Maswali yako nimeyapenda na ni ya msingi sana. Naomba tu nikwambie kuwa udhaifu huu wa Mfumo wa Elimu umepangwa kwa nia maalum. Nia kudhoofisha walio wengi{watawaliwa} ili waahache {watawala} wasipate upinzani mgumu siku za mbele na hasa watoto wao ambao wengi wanasoma elimu bora nje ya nchi. Hata hao wajumbe wa baraza akina Mukandala wanajua hilo na wanafanya hivyo. kwa hiyo mfumo huu ni wa kujenga matabaka ili watawala wapate kutawala milele. Nini kifanyike? Mapinduzi ya kweli ambayo yataiweka Tanzania chini na wananchi na kuwa na Uwezo wa kuielekeza serikali nini cha kufanya NA KUIWAJIBISHA PIA.
 
Kufuatia kuboreshwa kwa matokeo ya CSEE 2012, matokeo hayo yatakuwa mazuri zaidi ya yale ya kwanza na kwamba hakuna mwanafunz atakaeshuka ufaulu na hili ndilo linalonipa wasiwasi.

Mimi kama msomi na mdau mkubwa wa elimu, nimejiuliza maswali mengi sana bila majibu hivyo comments zenu ndio zitakazojibu maswali yangu ambayo ni kama ifuatavyo;

1. Matokeo ya kidato cha sita 2015 yatakuwaje?

2. Nchi yetu inaanda wasomi wa aina gani au ndo kutekeleza ile sera ya education for all (EF100)

3. Kwa wadau wazuri wa elimu, bila shaka mnawajua vizuri watu kama Issa Shivji, Walter Rodney, Rwaitama, Benson Bana, Prof Baregu na wenaine wengi na bila shaka mnatambua mchango wao katika jamii, swali ni je, kwa staili hii ya elimu na huu uaoreshaji wa matokeo, unafikiri tutapata watu kama hawa kwa vizaz vijavyo hapa Tanzania?

mi lazma niwehappy na matunda yang coz i know what am doin....i mean what i planted and what am goin to harvest....
Na kingine ni kwamba we shouldnt take things by heart in such...coz kilichokua kinafanyika hapo si kuwafaulisha waliofeli kama tulivyokua tukifaham wew na mm ila ni kuwapa what they deserve na hizo grade ambozo wamezitumia ni kwa wote sio waliofeli tu...so you need to be careful guys and in fact paper la mwaka jana was a bit simple hav ever seen ndomana sijashangaa na sitoshanga kusikia mwaka huu wamefanya vizuri than last year....so if its stil agony to you very sorry buddy...and you wil stil be baffled with this if urnt critical thinker and keep on pourin complains to the goverment.
 
Kwangu mi naona kuwa wasomi wataendelea kuwepo tu coz hata matokeo ya kwanza ambayo ni mabaya wapo waliopasua vibaya vibaya
 
mkuu apo umeongea ukweli tatizo watu wengi wamechukulia hili swal upande hasi sana hawajui kama wajinga wapo wapo tangu enzi izo na wataendelea wepo ata iweje likewise na wenye akili(academically)...so we should sometimes think beyond our flat nose not whatsoever we speak about there is reality.... Rogger that
 
Kuna mdogo wangu yale ya kwanza aligonga one ya kumi na moja tena hana C hata moja usiniambie na yeye kilaza najua wapo wengi sana kama yeye,hata hivyo kule kata na wale wachora mazombi mbona zero zinawahusu sana,
 
Back
Top Bottom